Zab. 92:10-12 Swahili Union Version (SUV)

10. Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati,Nimepakwa mafuta mabichi.

11. Na jicho langu limewatazama walioniotea,Sikio langu limesikia habari za waovu walionishambulia.

12. Mwenye haki atasitawi kama mtende,Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.

Zab. 92