6. Je! Hutaki kurudi na kutuhuisha,Watu wako wakufurahie?
7. Ee BWANA, utuonyeshe rehema zako,Utupe wokovu wako.
8. Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA,Maana atawaambia watu wake amani,Naam, na watauwa wake pia,Bali wasiurudie upumbavu tena.
9. Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,Utukufu ukae katika nchi yetu.