Zab. 83:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ee Mungu, usistarehe,Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie.

2. Maana adui zako wanafanya ghasia,Nao wakuchukiao wameviinua vichwa vyao.

3. Juu ya watu wako wanafanya hila,Na kushauriana juu yao uliowaficha.

Zab. 83