Zab. 67:5-6 Swahili Union Version (SUV) Watu na wakushukuru, Ee Mungu,Watu wote na wakushukuru. Nchi imetoa mazao yakeMUNGU, Mungu wetu, ametubariki.