5. Kwa mambo ya kutisha utatujibu,Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu.Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia,Na la bahari iliyo mbali sana,
6. Milima waiweka imara kwa nguvu zako,Huku ukijifunga uweza kama mshipi.
7. Wautuliza uvumi wa bahari,Uvumi wa mawimbi yake,Na ghasia ya mataifa;