Zab. 61:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Maana Wewe, Mungu, umezisikia nadhiri zangu.Umewapa urithi wao waliogopao jina lako.

6. Utaziongeza siku za mfalme,Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.

7. Atakaa mbele za Mungu milele,Ziagize fadhili na kweli zimhifadhi.

Zab. 61