9. ili aishi sikuzote asilione kaburi.
10. Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa;Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja,Na kuwaachia wengine mali zao.
11. Makaburi ni nyumba zao hata milele,Maskani zao vizazi hata vizazi.Hao waliotaja mashamba yaoKwa majina yao wenyewe.