Zab. 4:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo;Umenifanyizia nafasi wakati wa shida;Unifadhili na kuisikia sala yangu.

2. Enyi wanadamu, hata lini utukufu wangu utafedheheka?Je! Mtapenda ubatili na kutafuta uongo?

Zab. 4