Zab. 37:38-39 Swahili Union Version (SUV)

38. Wakosaji wataangamizwa pamoja,Wasio haki mwisho wao wataharibiwa.

39. Na wokovu wa wenye haki una BWANA;Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.

Zab. 37