Zab. 36:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kuasi kwake yule mwovu hunena moyoni mwake,Hakuna hofu ya Mungu mbele ya macho yake.

2. Kwa maana hujipendekeza machoni pakeKuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.

Zab. 36