Zab. 33:19-21 Swahili Union Version (SUV) Yeye huwaponya nafsi zao na mauti,Na kuwahuisha wakati wa njaa. Nafsi zetu zinamngoja BWANA;Yeye ndiye msaada wetu