Zab. 101:1-2 Swahili Union Version (SUV) Rehema na hukumu nitaziimba,Ee BWANA, nitakuimbia zaburi. Nitaiangalia njia ya unyofu;Utakuja kwangu