Zab. 100:1-2 Swahili Union Version (SUV) Mfanyieni BWANA shangwe, dunia yote; Mtumikieni BWANA kwa furaha;Njoni mbele zake kwa kuimba;