Yn. 21:8-10 Swahili Union Version (SUV)

8. Na hao wanafunzi wengine wakaja katika mashua; maana hawakuwa mbali na nchi kavu; ila yapata dhiraa mia mbili; huku wakilikokota lile jarife lenye samaki.

9. Basi waliposhuka pwani, wakaona huko moto wa makaa, na juu yake pametiwa samaki, na mkate.

10. Yesu akawaambia, Leteni hapa baadhi ya samaki mliowavua sasa hivi.

Yn. 21