Neh. 7:72-73 Swahili Union Version (SUV)

72. Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.

73. Hivyo makuhani, na Walawi, na mabawabu, na waimbaji, na baadhi ya watu, na Wanethini, na Israeli wote, wakakaa mijini mwao.Hata ulipowadia mwezi wa saba, wana wa Islaeli walikuwa wakikaa katika miji yao.

Neh. 7