Neh. 7:38-40 Swahili Union Version (SUV) Watu wa Senaa, elfu tatu mia kenda na thelathini. Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia kenda sabini