Mwa. 50:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Yusufu akamwangukia babaye usoni, akamlilila, akambusu.

2. Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga, kwamba wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.

Mwa. 50