Mwa. 5:20-22 Swahili Union Version (SUV)

20. Siku zote za Yaredi ni miaka mia kenda na sitini na miwili, akafa.

21. Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.

22. Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake.

Mwa. 5