Mwa. 30:10-12 Swahili Union Version (SUV)

10. Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana.

11. Lea akasema, Bahati njema! Akamwita jina lake Gadi.

12. Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili.

Mwa. 30