Mwa. 17:26-27 Swahili Union Version (SUV)

26. Siku ile ile akatahiriwa Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe.

27. Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.

Mwa. 17