Mt. 9:37-38 Swahili Union Version (SUV)

37. Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.

38. Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.

Mt. 9