Mt. 6:33-34 Swahili Union Version (SUV)

33. Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

34. Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.

Mt. 6