Mt. 5:7-10 Swahili Union Version (SUV)

7. Heri wenye rehema;Maana hao watapata rehema.

8. Heri wenye moyo safi;Maana hao watamwona Mungu.

9. Heri wapatanishi;Maana hao wataitwa wana wa Mungu.

10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Mt. 5