Mt. 23:1-2 Swahili Union Version (SUV) Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema, Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa;