Mt. 22:38-40 Swahili Union Version (SUV)

38. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

39. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

40. Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

Mt. 22