Mt. 15:38-39 Swahili Union Version (SUV)

38. Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila wanawake na watoto.

39. Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magadani.

Mt. 15