45. Hata alipokwisha kupata hakika kwa yule akida, alimpa Yusufu yule maiti.
46. Naye akanunua sanda ya kitani, akamtelemsha, akamfungia ile sanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani; akavingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.
47. Nao Mariamu Magdalene na Mariamu mamaye Yose wakapatazama mahali alipowekw