Mit. 8:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Je! Hekima halii?Ufahamu hatoi sauti yake?

2. Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia,Penye njia panda, ndipo asimamapo.

3. Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini,Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele.

Mit. 8