Mit. 27:1-2 Swahili Union Version (SUV) Usijisifu kwa ajili ya kesho;Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja. Mwingine na akusifu wala si kinywa chako