Mit. 18:22-23 Swahili Union Version (SUV) Apataye mke apata kitu chema;Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Maskini hutumia maombi;Bali tajiri hujibu kwa ukali