Mhu. 7:19-22 Swahili Union Version (SUV)

19. Hekima ni nguvu zake mwenye hekima,Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.

20. Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.

21. Tena, usitie moyoni mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali anakutukana.

22. Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.

Mhu. 7