Lk. 5:38-39 Swahili Union Version (SUV)

38. Lakini divai mpya sharti kutiwa katika viriba vipya.

39. Wala hakuna anywaye divai ya kale akatamani divai mpya; kwa kuwa asema, Ile ya kale ndiyo iliyo njema.

Lk. 5