Lk. 17:36-37 Swahili Union Version (SUV)

36. Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.]

37. Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokutanika tai.

Lk. 17