Kut. 21:15-17 Swahili Union Version (SUV) Ampigaye baba yake au mama yake, sharti atauawa. Yeye amwibaye mtu, na kumwuza, au akipatikana mkononi mwake