Kum. 33:22-24 Swahili Union Version (SUV)

22. Na Dani akamnena,Dani ni mwana-simba,Arukaye kutoka Bashani.

23. Na Naftali akamnena,Ee Naftali, uliyeshiba fadhili,Uliyejawa na baraka ya BWANA;Umiliki magharibi na kusini.

24. Na Asheri akamnena,Na abarikiwe Asheri kwa watoto;Na akubaliwe katika nduguze,Na achovye mguu wake katika mafuta.

Kum. 33