Kum. 13:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu,

2. ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo;

Kum. 13