Isa. 44:27-28 Swahili Union Version (SUV)

27. niviambiaye vilindi, Kauka, nami nitaikausha mito yako;

28. nimwambiaye Koreshi, Mchungaji wangu, naye atayatenda mapenzi yangu; hata ataunena Yerusalemu, Utajengwa; na hilo hekalu, Msingi wako utawekwa.

Isa. 44