Isa. 40:30-31 Swahili Union Version (SUV) Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya