Isa. 3:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kwa maana, tazama, Bwana, BWANA wa majeshi, awaondolea Yerusalemu na Yuda egemeo na tegemeo; tegemeo lote la chakula na tegemeo lote la maji;

2. mtu hodari na mtu wa vita; mwamuzi na nabii; mpiga ramli na mzee;

Isa. 3