Hes. 34:28-29 Swahili Union Version (SUV) Na katika kabila ya wana wa Naftali, mkuu, Pedaheli mwana wa Amihudi. Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi