32. Wakasafiri kutoka Bene-yakani, wakapanga Hor-hagidgadi.
33. Wakasafiri kutoka Hor-hagidgadi, wakapanga Yotbatha.
34. Wakasafiri kutoka Yotbatha, wakapanga Abrona.
35. Wakasafiri kutoka Abrona, wakapanga Esion-geberi.
36. Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapanga katika nyika ya Sini (ni Kadeshi).