Hes. 28:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Waagize hao wana wa Israeli, uwaambie, Matoleo yangu, chakula changu cha sadaka zangu zisongezwazo kwa moto, za harufu ya kupendeza kwangu mimi, mtaangalia kuzisongeza kwangu wakati wake upasao.

Hes. 28