Hes. 23:29-30 Swahili Union Version (SUV)

29. Balaamu akamwambia Balaki, Haya, unijengee hapa madhabahu saba, kisha uniandalie ng’ombe waume saba, na kondoo waume saba.

30. Basi Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema, akasongeza sadaka ng’ombe mume na kondoo mume juu ya kila madhabahu.

Hes. 23