Hab. 3:18-19 Swahili Union Version (SUV)

18. Walakini nitamfurahia BWANANitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.

19. YEHOVA, aliye BWANA, ni nguvu zangu,Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu,Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka.

Hab. 3