Ayu. 6:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Ayubu akajibu na kusema,

2. Laiti uchungu wangu ungepimwa,Na msiba wangu kutiwa katika mizani pamoja!

3. Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari;Kwa hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka.

Ayu. 6