Ayu. 42:15-17 Swahili Union Version (SUV)

15. Katika nchi hiyo yote hawakuwapo wanawake waliokuwa wazuri kama hao wana wa Ayubu; na baba yao akawapa urithi kati ya ndugu zao wana waume.

16. Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia na arobaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hata vizazi vinne.

17. Basi Ayubu akafa, mzee sana mwenye kujawa na siku.

Ayu. 42