Ayu. 41:32-34 Swahili Union Version (SUV)

32. Hufanya mapito yake kung’aa nyuma yakeHata mtu angedhani kilindi kina mvi.

33. Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,Aliyeumbwa pasipo oga.

34. Yeye hutazama kila kitu kilicho juu;Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.

Ayu. 41