Ayu. 40:20-22 Swahili Union Version (SUV)

20. Hakika milima humtolea chakula;Hapo wachezapo wanyama wote wa barani.

21. Hulala chini ya miti yenye vivuli,Mafichoni penye mianzi, na matopeni.

22. Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao;Mierebi ya vijito humzunguka.

Ayu. 40