Ayu. 39:29-30 Swahili Union Version (SUV)

29. Toka huko yeye huchungulia mawindo;Macho yake huyaangalia toka mbali.

30. Makinda yake nayo hufyonza damu;Na kwenye maiti ndiko aliko.

Ayu. 39