Ayu. 39:17-19 Swahili Union Version (SUV)

17. Kwa sababu Mungu amemnyima akili,Wala hakumpa fahamu.

18. Wakati anapojiinua juu aende,Humdharau farasi na mwenye kumpanda.

19. Je! Wewe ulimpa farasi uwezo wake?Au, ni wewe uliyemvika shingo yake manyoya yatetemayo?

Ayu. 39